Adverts

Jan 19, 2011

Makamu SAUT Ataja Chanzo Cha Migomo Vyuo Vikuu

Makamu SAUT Ataja Chanzo Cha Migomo Vyuo Vikuu: " Makamu mkuu SAUT Dr Chalse Kitima(katikati) MAKAMU Mkuu wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Dkt. Charles Kitima, amesema kwamba migomo ya wanafunzi inayoendelea katika vyuo mbalimbali hapa nchini inatokana na udhaifu wa uongozi wa serikali iliyopo madarakani. (Chanzo:Gazeti Majira)
"