Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifunguwa mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa (ALAT) uliofanyika jana jioni katika ukumbi wa ST. GASPAR mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa (ALAT), baada ya kufunguwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika jana jioni katika ukumbi wa ST. GASPAR mjini Dodoma.Picha na Amour Nassor-VPO.
"
new post