TANDEN inasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzetu Athensia Lionidas Rugemalira aliyefariki kwa ajali ya gari tarehe 11/1 2011 uko Jylland.
Marehemu anatokea Bukoba na ameacha mume na watoto watatu, mkubwa miaka 11 na mapacha wa miaka 5. Marehemu anatalajiwa kuzikwa Ijumaa tarehe 21/1 2011 saa saba mchana katika kijiji cha Sunds kilichopo karibu na Herning Midtjylland, baada ya mama mzazi kufika toka Tanzania. Kwa habari zaidi wasiliana na Dada Blandina wa nykøbing mors kwa taleforn nr. 20898695.
Picha ya ajali hiyo na Habari
BOFYA HAPA
"
new post