Adverts

Jan 18, 2011

Mradi Wa Mchuchuma Kuanza Ndani Ya Kipindi Cha Miaka 5 Ijayo

Mradi Wa Mchuchuma Kuanza Ndani Ya Kipindi Cha Miaka 5 Ijayo: " 1.Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo Tanzania (NDC) linalosimamia mradi huo, Dk. Clisant Mzindakaya, akimtanabahisha jambo kwa undani, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya China ya Sichuan Hondga, Liu Canglong, kabla ya kuanza mazungumzo ya maafikiano kuhusu kuanza kwa mradi wa Mawe wa Mchucghuma na wa Chuma wa Liganga,leo mjini Dar es Salaam. 2.Wawakilishi wa NDC (kushoto), wakiwa tayari kufanya majadiliao na wawakilkishi wa kampuni ya China ya Sichuan Hondga, eo katika ukumbi wa DICC mjini Dar es Salaam. ----- Akizungumza na waandishi wa Habari, leo kabla ya mazungumzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa NDC, Gideon Nasari alisema, mazungumzo hayo yatachukua siku nne, na taarifa kuhusu hatma ya mazungumzo ya maafikiano hayo itatolewa baadaye. Lakini akadokeza kwamba mradi wa makaa ya mawe unatarajiwa kuanza miezi sita baada ya maafikiano kufikiwa lakini zaidi ya hilo utakamilika kabla ya Rais wa awamu ya nne, Dk. jakaya Kikwete kumaliza muda
" new post