Dada akitoka taratibu kwa aibu.
Hili ni fumaninizi la watu fulani waliokatika ndoa na wana watoto watatu lakini sisi wengine tunajifunza nini katika hili???Mie ninayo mengi sana ya kusema ila nakuachia wewe.
Sikiliza hekaheka kesho Gea anayo story kamili saa tano na dk 15.