Adverts

Jan 31, 2011

Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

Mwanaume mwenye nguvu za ajabu: "
  1. Kwenye majambos lazima aende mizunguko 15 kila siku
  2. Ana wake 4, wanapokezana hakuna kulala
  3. nguvu zake ni sawa na wanaume 30000
  4. anaweza kuzuia treni isitembee
  5. anaweza kupindisha sarafu kwa kukandamiza kwenye jicho lake
  6. Akitumia mikono anaichana sarafu kama karatasi
  7. Haruhusiwi kufanya kazi yoyote wala kufungwa asije akapiga watu
mnamfikiriaje mtu huyu, ni binadamu wa kawaida? Si hadithi ya kutunga, unaweza kujionea
"