Adverts

Jan 31, 2011

Kakamatwa live!!

Kakamatwa live!!: "
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.
"