Adverts

Jan 31, 2011

Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania: "
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi 1. Tanga ndio kinara 2. Lindi unafuatilia 3. Dar es Salaam 4. Mtwara 5. Tabora 6. Kigoma 7. Mwanza Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi 1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara 2. Ruvuma inafuatialia 3. Mbeya 4. Singida Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi 1. Kilimanjaro inaongoza 2. Morogoro inafuatilia 3. Kagera Wateja wengine wa wachawi 1. Wafanyabiashara 2. Wasanii 3. Kina mama wa nyumbani 4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
"