Hatimaye kambi ya Kisura yaanza rasmi leo katika hoteli ya Kiromo Bagamoyo. Visura wote wamewasili kambini salama huku yule mshiriki kutoka pande za Monduli akisindikizwa na walinzi wawili au morani. Kwa habari kamili cheki mambo yalivyokuwa
SWALI:unafikiri kushiriki kwa Laiboni ktk mashindano haya hasa iwapo atashinda kuna faida au hasara gani kwa tamaduni za Kabila la kimasai?
"
Dada Juliana akiongea na waandishi wa habari |
Visura wakiongea na waandishi wa habari |
Kipuyonde Laiboni kisura toka pande za Monduli |
Kisura wetu Kipuyonde akihojiwa na waandishi wa habari. Hajuwi kiswahili. |
Kisura wetu akiwa na kakayake Mshangamal Laiboni. Yani hawa wote wanatoka kwenye Boma moja. Hawa ni mtu na kakayake. na mchumba wake Paulo wameshare baba ila mama tofauti. simchezo |
Vijana wangu wakiwa makini. |
Nilipiga picha na Rafiki yangu toka Full Shangwe. |
Visura wakipozi kwa pamoja |
Visura toka Dodoma |
Visura toka Jiji la Dar es salaam |
Visura toka Arusha |
Visura toka Dodoma |
Visura toka Arusha |
Nikapata picha na Kipuyonde Laiboni Kisura wetu. |
Clauds TV nao walikuweko. Hapa wakifanya mahojiano na Mwakilishi toka FHI |
Kisura akiwa na walinzi wake |
Mchumba wa kisura wetu Mr Paulo Laiboni akiwa makini kabisa |
Kisura wetu Kipuyonde Laiboni. Hakika dada ukifanikiwa kushiriki kikamilifu utafika mbali sana. |
Juliana akiongea na kaka wa Kipuyonde. Hapa alikuwa anamwambia wanaume hawawezi kuu kaa kambini. Hauwezi kuweka boma huku. |
Kisura wetu akiwa na mchumba wake bwana Paulo |
Kama kawa namimi nikatowa swagga |
Mdau kutoka Clauds TV |
Tunawakilisha |
Visura |
Visura |