PROMOSHENI YA HAMIS MA SMA YAFIKIA TAMATI: "
|
Mwezeshaji wa promosheni ya Hamisi ma SMS Nixon Haule (kati) akibonyeza kitufe kuchezesha droo ya mwisho kumpata mshindi wa milioni 15 iliyofanyika katika ofisi za Zantel na. Bi Wazire M. Abdalla mkazi wa Malindi Zanzibar aliibuka mshindi. Wengine pichani ni William Mpinga (kushoto)Mkuu wa Mahusiano Zantel, Brian Karokola Kaimu Mkurugenzi Masoko Zantel (wa pili Kushoto) na Abdallah Hemedy Afisa kutoka bodi ya michezo ya bahati nasibu.
|
Hamisi ma SMS mwezeshaji wa promosheni ya Zantel akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kufikia mwisho wa promosheni hiyo iliyoendeshwa kwa takribani miezi 3 na kuwafanya wateja 109 kuwa mamilionea . Wakimsikiliza ni William Mpinga (kushoto) Mkuu wa Mahusiano Zantel na Brian Karokola (wa pili kushoto) Kaimu Mkurugenzi Masoko Zantel.
"
new post