Adverts

Jan 31, 2011

Swali Tafadhali

Swali Tafadhali: "
Wandugu wanaJF naomba kupata msaada wa kupata jibu kuhusiana na majina haya na tofauti zake:
  1. Hotel
  2. Hostel
  3. Motel
  4. Guest House
  5. Rest House
Asanteni!:thinking:
"