Adverts

Jan 31, 2011

Utamu wampeleka jamaa jela

Utamu wampeleka jamaa jela: "
I hope mnaendelea vizuri wana JF Jamani hivi hii staili ya kujirekodi video huku mkiwa kwenye 6 kwa 6 inaleta ladha gani? sijui pale mnapoamua kuangalia ile video na kuona jinsi mlivyokua mnapeana mambo au la, Issue kama hizi zimekua zikitokea sana katika nchizi zilizoendelea hasa marekani ambapo ma celebrities huzipost kwenye internet na watu kuziona. Sasa huyu celebrity Nazril Irham wa huko Indonesia yamemkuta, wamejirekodi yeye na mpenzi wake ambaye pia ni celebrity pamoja na msichana mwingine wakifanya ngono na kuzipost kwenye internet. Jamaa kafungwa miaka mitatu na nusu chini ya sheria ya Pornograpy ya mwaka 2008 ya nchi hiyo. fuatilia:BBC News - Indonesia sex tape star is jailed
"