NI HUYU SUPER STAR WA ULAYA...KWANZA NILIPOMUONA NA MIWANI SIKUTAKA KUSTUKA SAANA COZ NILIONA MAY BE MARADHI YA MACHO KAMA UJUAVYO KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
KUONA GAUNI NIKASEMA MH HAWA WAULAYA NAO KWA KUPENDA KUTOKA TOFAUTI NIKAMPOTEZEA, KUFIKA UNYAYONI NIKASEMA AKA!! HUYU ANATAKA KUMPIKU LADY GAGA AU NDO MAMBO YA FASHION NA MASWAGGGA YANAYOJIRIIIIII
HAYA OLIVIA WA VIATUZI, ULITUAMBIA KUHUSU COLOR COMBO JE HILO NI INGIZO JIPYAAAAAAAA AU SHOST ANAJILADYGAGAISHAAAA?!!!
"