Adverts

Jan 18, 2011

UMEME WA MAKAMBAKO KUINGIZWA GRIDI YA TAIFA

UMEME WA MAKAMBAKO KUINGIZWA GRIDI YA TAIFA: "
Mwenyekiti wa Kampuni ya kufua umeme wa upepo ya Sino Tan, Alex Lema (katikati), akizungumza na wadau wa umeme na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kampuni hiyo yenye ofisi zake Makambako mkoani Njombe, kuanza kuzalisha megawati 100 na kuziingiza katika gridi ya Taifa ambazo zitasaidia kupunguza tatizo la umeme nchini kwa asilimia 10. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
"