Adverts

Jan 18, 2011

JENGO JIPYA LA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

JENGO JIPYA LA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR: "
Jengo jipya la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja,ambapo kesho litatumika kwa mkutano wa pili wa Baraza la Nane la Wawakilishi, katika mkutano huo jumla ya masuala 94 yataulizwa na wajumbe wa Baraza hilo katika kikao kitakachochukua wiki mbili.(PICHA NA HAROUB NASSORO)
"