Adverts

Jan 18, 2011

JK AMWAPISHA KAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

JK AMWAPISHA KAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU: "
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Ali Hassan Rajabu (kushoto) pamoja na Katibu wa Tume hiyo. Mary Massay baada ya kuwaapisha kushika nyadhifa hizo Ikulu, Dar es Salaam jana. (PICHA NA FREDDY MARO)
"