Adverts

Jan 18, 2011

40 Wanaswa kwa uvamizi wa ardhi Pwani.

40 Wanaswa kwa uvamizi wa ardhi Pwani.: "Na Julieth Ngarabali,Kibaha JESHI la Polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa zaidi ya 40 wanaodaiwa kuhusika katika zoezi zima la kuvamia na kugawana ardhi kinyume cha sheria katika maeneo ya wilaya ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani Pwani. Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake..."