Adverts

Jan 18, 2011

Polisi wanasa silaha ya kijeshi Tabora.

Polisi wanasa silaha ya kijeshi Tabora.: "Na Sunday Kabaye, Tabora Jeshi la polisi mkoani Tabora, limefanikiwa kukamata bunduki moja ya kijeshi pamoja na risasi 30 iliyokuwa inatumiwa na majambazi katika vitendo vya uhalifu. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tabora Liberatus Barlow, amesema kuwa silaha hiyo ya kijeshi..."