Adverts

Jan 31, 2011

UMEWAHI KUSHUHUDIA HII...!!!??

UMEWAHI KUSHUHUDIA HII...!!!??: "
Hii inaitwa Dead Sea aka “Bahari Iliyokufa” kutokana na ukweli kwamba maji yake yana chumvi nyingi kiasi cha kwa asilimia 33.7 kwamba si rahisi kwa viumbe vyenye uhai kuishi ndani na lugha nyingine huitwa salt sea ambayo iko katikati ya Jordan na Upande wa Magharibi inapakana na Israel.Sifa ya bahari hii ni watu wakiingia hawawezi kuzama na wengine huingia huku wakisoma magazeti ili kuthibitisha wanachokisikia kama huyo mdau hapo juu.....
"