Na Brandy Nelson, Mbarali SAKATA la polisi kuua raia kwa risasi katika kata ya Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya limeingia katika sura Mpya baada ya wananchi kumtaka Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Kosmas Kayombo kumkamata na kumpeleka kwao askari polisi aliyemuua mwenzao kwa risasi,..."
new post