
Mfano wa camera zilizowahitumika hollywood

katika madame tussads(hollywood) ipo pia sanamu ya michael jackson

hapa hutumiwa kama bahari,ziwa au mto ambapo huwekwa kimeli kidogo na sanamu la shacks na shooting kuendelea ambapo huonekana kama bahari kubwa.

hapa ndipo aliposhutia Tom Cruess katika movie ya WAR OF THE WORLD kama ndege iliyopata ajali.lakini si kweli bali hapa pametengenezwa na kuonekana hivi.

Humu ndani ndipo kuna maonesho ya technology ya SKYNET iliyotumika katika movie ya TERMINATOR 2

Jumba la kutisha na lenye maajabu kama huwa unatizama picha za vampire basi tizama picha chini hapa..

"