Adverts

Feb 2, 2011

20% Aibuka Kidedea

20% Aibuka Kidedea: "

Kwa jina halisi anaitwa John VN Shariza lakini kwa jina la kisanii anatambulika kama Man Water,ambaye ndiye mmiliki wa studio Combination Sounds'Combinega',kama vile haitoshi ndiye producer wa msanii Twenty Percent (20%) ambaye anatamba na nyimbo zake mbili kama vile 'Yanini Malumbano'

"