Adverts

Feb 2, 2011

Waimbaji wa Injili Shurti Kujisitiri Vyema

Waimbaji wa Injili Shurti Kujisitiri Vyema: "

images/stories/news_flash/injili.jpgWAIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini wametakiwa kutovaa mavazi yasio ya heshima kwa sababu hayamtukuzi Mungu wanayemwimbia.

Wito huo ulitolewa jana mjini hapa na Mchungaji msaidizi wa Kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT), Joab Ngambiye, wakati wa uzinduzi wa albamu ya

"