WADAU WA BLOGU YETU YA JAMII.
KUMEKUWA NA KELELE KWAMBA MIE NAINGILIA MAMBO YA MUZIKI. UKWELI NI KWAMBA MIE SIJARUKIA MZIKI. NIMEANZA ZAMANI ILA NILIKUA SIJITANGAZI KIMUZIKI NILIKUA NAJITANGAZA KI MPIRA KWA SABABU NI DAMU YANGU MIE KAMA NINGESHOBOKEA MPIRA TU SAA HIZI NINGIKUA NA LIMA NDIZI NA KAHAWA.
HII PICHA NI WAKATI TULIKUA NA JAMES MTOTO WA DANDU NA MBILIA BELL NA ALEX KAJUMULO WAKATI WA KUTENGENEZA NYIMBO YA BABUKAJU. MNAWEZA KUSIKILIZA HIYO NYIMBO HAPA.NYIMBO INAITWA AFRICA MELODY NYIMBO ZOTE ZINAPATIKANA ITUNE/AMAZON/ZUNE/CDBABY/ KWA HABARI ZAIDI INGIA
WWW.BABUKAJU.COM
MKUMBUKE MTOTO WA DANDU COOL JAMES
WENU
ALEX KAJUMULO
"