Adverts

Feb 12, 2011

BENKI YA CRDB YAZINDUA PROGRAMU YA MAFUNZO HURIA

BENKI YA CRDB YAZINDUA PROGRAMU YA MAFUNZO HURIA: "
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr Charles Kimei (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya biashara ya Millpark Business School Bw.Julian Van Der Westhuizen (kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof.Rwekaza Mukandala (kulia), wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuendesha programu hiyo ya mafunzo yatakayoimarisha zaidi utendaji kwa watumishi wa Benki hiyo na Benki zingine nchini Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya biashara ya Millpark Business School Bw.Julian Van Der Westhuizen na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala, baada ya uzinduzi rasmi wa programu hiyo. Waliosimama kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki ya CRDB Bi.Dorah Ngaliga, Mwakilishi wa Gavana wa Benki kuu Bi. Frola Mwaigomola na Mwakilishi wa Danida.

Wafanyakazi wa Idara ya Rasilimali watu ya Benki ya CRDB wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya biashara ya Millpark Business School Bw.Julian Van Der Westhuizen na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala baada ya uzinduzi rasmi wa programu hiyo.katika hoteli ya Movenpick.

"