Adverts

Feb 9, 2011

Asakwa kwa kubaka binti yake.

Asakwa kwa kubaka binti yake.: "Na Sunday Kabaye, Tabora. Jeshi la Polisi mkoani Tabora, linamsaka Amos Gambo mkazi wa kijiji cha Mtakuja Manispaa ya tabora kwa tuhuma za kumbaka bintiye mwenye umri wa miaka 8 ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mtakuja. Kamanda wa Polisi..."