Adverts

Feb 9, 2011

Kesi ya Assange kusikilizwa tena Ijumaa.

Kesi ya Assange kusikilizwa tena Ijumaa.: "Kesi ya kuamua iwapo mmiliki wa mtandao wa Wikileaks,Julian Assange, apelekwe Sweden kujibu mashtaka ya ubakaji, itasikilizwa tena Ijumaa baada ya siku mbili za kesi kushindwa kufikia uamuzi. Kesi hiyo ilisikilizwa Jumatatu na jana Jumanne. Mawakili wanatarajiwa kurejea siku ya Ijumaa kuwasilisha malalamiko yao ya..."