Sehemu ya waathirika wa mabomu ya gongo la Mboto, wakiwa wamejihifadhi uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) |
Mkazi wa Majohe, Agnella Mangoma akiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikolazwa baada ya kujeruhiwa na milipuko ya mabomu ya Gongo la Mboto. |
Mmoja wa watoto waliopoteana na wazazi wao akiwa amehifadhiwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) |