Adverts

Feb 2, 2011

COSTECH na grant za R&D

COSTECH na grant za R&D: "
Wadau nilihudhuria network forum moja hivi, mkurugenzi wa COSTECH akatuambia katika ile pesa ambayo serekali inatenga kwa ajili ya research and develpment(R&D), which its have to be 1% of ts budget, japokuwa bado haijafika asilimia moja kwa sasa, wataitumia kusomeshea vijana masters na PHD za science ndani ya nchi, kuanzia academic year 2010/2011, lakini cha ajabu kuna watu wawili nawafahamu wameshaanza shule UDSM kwa hizo grant bila ya grant zenyewe kutangazwa kwenye public ziwe in a competitive manner..!!? Kuna mdau mdau yeyote aliyesikia zikitangazwa au zimeshachakachuliwa kwa kujuana!?
"