Adverts

Feb 2, 2011

Wenyeviti!

Wenyeviti!: " Linda Rosen, Mwenyekiti, Karibu Sweden Association na George Mangoma, Mwenyekiti Karibu Tanzania Association. Linda Rosen yuko nchini Tanzania kwa ziara fupi ya kikazi. Pichani ni kwenye mazungumzo ya kikazi, Iringa, leo asubuhi.
"