Adverts

Feb 23, 2011

Dkt nchimbi ziarani uholanzi

Mhe. Dkt. Emmanuel J. Nchimbi, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo alipotembea AFC Ajax ya Amsterdam, Uholanzi tarehe jana 22 Februari, 2011. hapa akiwa na Mjumbe wa Bodi ya AFC Ajax, Mr. Henry katika moja ya viwanja vya michezo kwa ajili ya program ya Sports Academy. Mhe. Waziri akiwa katika picha ya pamoja na Makocha wa AFC Ajax katika Chumba cha Mazoezi ya Viungo
"