Adverts

Feb 23, 2011

SEMINA YA WASANII WA KILI MUSIC AWARD YAFANA DAR

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto) akiwa na Mratibu wa kutoka basata, Anjelo Luhala wakifuatilia kwa makini semina ya wasanii walioteuliwa shindano la Kilimanjaro la Mwanamuziki Bora Tanzania iliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa shindano hilo Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Dar es Salaam jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Baadhi ya wasanii

Kiongozi wa kikundi cha Taarabu cha Jahazi Mzee Yusufu akiwa miongoni mwao

Mpoki wa Ze Komedy
Mrisho Mpoto
Mwana FA
"