Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo Tanzania,Balozi wa Tanzania nchini Congo,Juma Alfani Mpango,alipokuwa na mazungumzo na Mabalozi hao jana,Ikulu Mjini Zanzibar"