Adverts

Feb 23, 2011

I JUST WANNA STAY LIKE KILIMANJARO MT "JOH MAKINI"

Joh Makini kutoka Atown City Arusha ametoa wimbo wake mwingi mpya unaokwenda kwa jina la KILIMANJARO akiwa umemshirikisha GNako na Lady Jaydee.
Wimbo huu ukiwa umerekodiwa pale Bongo Rec unamuelezea Joh Makini kwamba anataka kuwa juu kama Mlima wa Kilimanjaro.
Joh yeye ameeanza na verse ya 1 akafuatia Gnako na Lady Jaydee yeye amesimama kwenye Chorus,
Kaa tayari kwa wimbo huu ambao soon utakuwa ndani ya Bongo Star Link.
Joh Makini, Nick wa Pili & GNako.....wasanii wanaoiwakilisha Atown City
"