Adverts

Feb 23, 2011

BARAZA LA HABARI TANZANIA LATOA ELIMU KWA WAANDISHI IRINGA

Mmiliki wa mtandao wa francisgodwin.blogspot.com Bw Francis Godwin( kulia) akiwa na wanahabari wengine Clemence Sanga, Vicky Macha na Getrude Madembwe katika darasa la MCT mjini Iringa kwa ajili ya mafunzo ya siku mbili kuhusu vyombo vya habari na jinsia
Katibu wa IPC Bw Frank Leonard (kulia) akipata maelekezo kutoka kwa mwezeshaji
Getrude ,Vicky na Clemence
Mwanahabari Alen Philipo akipitia ratiba
Mwezeshaji akijiweka sawa kabla ya darasa kuanza
"