Adverts

Feb 3, 2011

Inanikera napoona students stendi.....

Inanikera napoona students stendi.....: "
Wapendwa wanajf,hoping kuwa mkiwa ndani ya forum hii mnapata matulizo na matumaini ya matatizo meengi ambayo yanatuface ajira,street kids,machinga,migomo,kupanda kwa gharama ya vitu,dowans n.k ....hoja yangu ya leo c hyo ila napenda kuwakumbusha mambo ambayo yanatukumba wtz just in a nut-shell lakini kubwa na ambalo nataka lileta kwa ma-thinkerz ktk forum ni hl tatizo la usafiri kwa wanafunzi na hapa naongelea dar in specifically,yani utakuta muda wa saa 0900am wanafunzi wapo stendi ,je watafika shule muda gani tena unakuta wanafunzi wanasafiri toka wilaya moja to nyingine...akifika shule kachoooka,apewa adhabu then kitabu kurudi sasa usiulize wapo stendi hadi saa 2000pm ..inanikera,wapendwa wanajf naomba kuuliza hv viongozi wetu hawalioni hl au wanajidai vipofu?je kufail hakuchangiwi na hl au?tafakari jamani..
"