Adverts

Feb 23, 2011

Je, unafuga kuku? … Taarifa hizi zitakufaa …

Je, unafuga kuku? … Taarifa hizi zitakufaa …: "

Kipeperushi … kwa hisani ya Da Eliza Rugenza na Tanzania Poultry Farms (Arusha).

Moja ya malengo ya blogu hii ni kuwafikishia wadau taarifa muhimu wanazoweza kutumia ili kujiletea ukombozi wa kiuchumi na papo hapo kutoa mchango kwa ukuaji wa Taifa (Kiuchumi, Kijamii, Kiutamaduni, Kimaarifa). Ninaamini kwamba wafugaji kuku wengi watanufaika na taarifa hii. Ili kupata habari za kina na mijadala kuhusu ufugaji, tafadhali tembelea makala inayoitwa “Kuku wa Amadori” kwenye blogu hii hii. Hapo utapata fursa ya kujifunza na kutoa michango yako ya fikra na uzoefu kuhusiana na suala zima la ufugaji kuku. Karibu.

"