Adverts

Feb 6, 2011

KAJUMULO FC FARASI

NA ALEX KAJUMULO
HII NI TIMU YANGU YA WATOTO INAITWA FARASI NIMEANZA KUWAFUNDISHA MPIRA WAKIWA NA MIAKA TISA SASA HIVI WANA MIAKA 15 TOKA NIMEANZA KUWAFUNDISHA. NIMESHINDA MAKOMBE MATANO PAMOJA NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA. TIMU YA WAVULANA AMBAYO INAITWA TEMBO IMESHINDA MAKOMBE MATATU NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA. KWA HIYO WATANZANIA WANAODHANI NIMEACHA MPIRA BADO MPIRA UPO KWENYE DAMU . WATOTO WA TATU TOKA KWENYE TIMU YA FARASI WAMECHANGULIWA KU INGIA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA WA MIAKA 17 USA NATIONAL TEAM. TIMU YA WASHICHANA NITAILETA TANZANIA JUNI MWAKA 2012. OK PEOPLE ONE LOVE UNAWEZA KUANGALIA KWENYE http://www.kajumulofc.org/ NA HIZO UNIFOM NI NGUO ZA KAJUMULO.
"