WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakikagua mitambo ya umeme ya Dowans, Ubungo, Dar es Salaa, leo
MKURUGENZI wa Fedha wa Kampuni ya Dowans, Stanley Munai (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, waliofuatana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, leo, kwenye mitambo ya kampuni hiyo, Ubungo, Dar es Salaam.
"