Spika Anne Makinda akitoa mutasari wa mkutano wa pili wa Bunge la Kumi akisikilizwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa kikao cha muhtasari (briefing) wa ratiba ya Mkutano wa Pili wa Bunge la Kumi Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda Mb (wa pili kutoka kushoto) katika kikao hicho leo mjini Dodoma. Kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd. Kushoto kwake ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb )na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa kikao cha muhtasari (briefing) wa ratiba ya Mkutano wa Pili wa Bunge la Kumi Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda Mb (wa pili kutoka kushoto) akifungua kikao hicho leo Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiongea na wanahabari mara baada ya kumalizika kikao cha briefing kwa wabunge mjini Dodoma leo.
Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika akitoa tathmini ya chakula nchini ambapo amewahakikishia wabunge kuwa hali si mbaya. Alikuwa akiongea kwenye kikao cha briefing kwa wabunge mjini Dodoma leo.
"