Adverts

Feb 7, 2011

kina ras makunja wakiwa mzigoni hawana mzaha

kina ras makunja wakiwa mzigoni hawana mzaha: "
Usifikiri mistari ya kina ras makunja inakuwa imenyooka bure tu...
afande huwa hana masikhara hata kidogo...mistari inapigwa chaki...
hapo hakuna kumung'unya wala kutafuna...
"