Adverts

Feb 7, 2011

ANNA PETER IS BACK....EAST AFRICA RADIO!

ANNA PETER IS BACK....EAST AFRICA RADIO!: "
Mdada mwenye talents kibao kuanzia ku-act,uimbaji na utangazaji amerudi tena rasmi kwenye fani ya utangazaji baada ya Jumatatu ya tarehe 7 Feb 2011 kusikika akitangaza kwenye kipindi cha Powerjams cha East Africa Radio akiwa na Sam Misago kwenye kipindi hicho kinachoanza saa 7 - 10 kamili ya jioni,Jumatatu mpaka Ijumaa....Welcome Back!!!
"