Adverts

Feb 12, 2011

Kwa wanaume 'wanaowahi' dawa hii hapa...

Kwa wanaume 'wanaowahi' dawa hii hapa...: "
Wandugu, Kama kuna jambo linakera katika mahusiano ya kingono ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani wanaume ndiyo wanakerwa zaidi. Wengine wamefikia hatua mbaya kiasi kwamba jamaa anashtukia amemaliza safari kabla ya kuanza. Sasa katika pitapita yangu nimeweza kupata ujuzi unaoweza kusaidia kupunguza hali hii. Bahati nzuri ujuzi wenyewe nime-apply na umeleta matunda mpaka partner wangu alishangaa sana siku ya kwanza nilipotumia. Wenye elimu zaidi naomba nao waongeze technique hapa jamvini ili tusaidiane katika kujenga na kuimarisha confidence ya kuwatosheleza 'watoto'. Najua zipo dawa (kemikali) zinazopakwa kwenye 'kichwa' cha yule jamaa lakini ni vizuri kutumia mbinu za asilia zisizotumia kemikali ili kuepuka madhara ya muda mrefu. Mbinu zifuatazo zinaweza kusaidia. (1) Punguza hisia kali na elekeza akili yako katika kumuandaa mwenzio. (2) Ondoa mawazo/hisia inayokuelekeza kutaka kumwagia kitu kwenye lile eneo nyeti. Hisia hii, unaweza ukaizuia na ukairejesha wakati muafaka. (3) Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata yaani unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara jitahidi kukata pumzi kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga mbele zaidi na zaidi. (4) Anza na 'position' ambayo haikuhamasishi sana halafu malizia na ile ambayo sekunde moja tu safari inaisha. (5) Kwa wanaotumia 'kifo cha mende' usijilaze juu ya mwenzio kama gunia yaani weight yako yote ina-fall kwa mwenzio. Ukibweteka hivyo huchukui raundi ulimi nje sekunde chache tu. Unatakiwa kum-hold mwenzio kama wanavyofanya wasanii wa sarakasi. Kadri unavyotumia mbinu hizi, ndivyo unavyoongeza muda wa kufika mwisho wa safari.
"