Adverts

Feb 9, 2011

Leo Nimekutana Na Da' Subi!

Leo Nimekutana Na Da' Subi!: " Siku yangu ya leo imeanza vema kwa kupata bahati ya kukutana na mwanablogi na mwalimu mahiri wa jamii, Subi Sabato. Nilikwenda kumuuaga pale Stendi Kuu ya mabasi Iringa Mjini. Ameondoka asubuhi hii kuelekea Dar kwa basi la Sumry. Subi alikuwa Iringa kwa ziara ya kazi za kijamii. Bahati mbaya jana nzma nilikuwa Ilula kikazi mpaka usiku. Hivyo, hatukuweza kukutana. Kila la kheir Da' Subi na safari njema. ( Picha: Subi Sabato)
"