Adverts

Feb 7, 2011

Mabomu Ya Machozi Yalindima UDSM Leo...

Mabomu Ya Machozi Yalindima UDSM Leo...: " 1.RICHARD Mwita, mmoja wa wanafunzi akihamasiha wenzake kuhakikisha akifika Dk. Kawambwa anatoa tamko tu la nyongeza ya sh. 10,000 la sivyo hapatoshi 2.Kisha waziri kawambwa na msafara wake wakaondoka 3.Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, wakimsubiri kwa mabango kama hili, Waziri wa Elimu, Dk. Shukuru Kawambwa, kabla ya kufika chuoni hapo kuwasili kwa lengo la kuzungumza nao kuhusu nyongeza ya sh. 10,000 wanayotaka waongezwe kwenye fedha za kujikimu. 4.Baada ya waziri kuondoka ndipo likazuka sheshe, polisi wakaamua kulipua mabomu ya kutoa machozi, baada ya baadhi ya wanafunzi kuwatupia chupa za maji na mawe polisi hao. 5.Waanafunzi wakimsaidia mwenzao ambaye aliumia katika mshike mshike huo. 6.7,Liwalo na liwe, walikata tamaa.
"