Adverts

Feb 7, 2011

Nec na diwani viti maalum tlp Arusha waumbuka

Nec na diwani viti maalum tlp Arusha waumbuka: "
Leo madiwani wote wa manispaa ya walikuwa na semina elekezi,katika hali ya kushangaza akahudhuria Mwahija Choga ambaye nec inalazimisha kwa maelekezo ya CCM awe diwani viti maalum wa TLP wajumbe wakachachamaa hadi Choga akatolewa kwa aibu my take nec na mkurugenzi pamoja na ccm wanaelewa fika kuwa /hoga alifukuzwa tlp tangu mwaka jana,na jina lake halikupelekwa nec,ila kwa hila wanalazimisha ili waweze kulazimisha mambo zao
"