Adverts

Feb 15, 2011

Mauaji ya kutisha sudan kusini

Mauaji ya kutisha sudan kusini: "
Ndugu JF lile taifa changa kuliko yote la sudan kusini,wameanza kuuana na kuchinjana kama kuku,habari za uhakika zinasema zaidi ya watu 200 wameuwawa kati ya wafuasi wa serikali na wale wanaomtii mwanajeshi aliasi sijui nini hatma ya Africa,maana kila siku kuna jipya,natamani na natoa wito kwa huyu mwanajeshi muasi aache kuua watu,African must unite I dream for united states of africa
"