Adverts

Feb 12, 2011

MBALI NA MUSIC SASA MIMI NI BABA WA FAMILIA 'BEEZY'

MBALI NA MUSIC SASA MIMI NI BABA WA FAMILIA 'BEEZY': "
Benson Beezy Mokiwa, mtanzania aliyeweka makazi yake kule Siegen Germany akiendelea na masomo pamoja na muziki. Kwa sasa jamaa ameoa na amebahatika kupata mtoto mmoja aliyempa jina la Malaika. Beezy alifunga ndoa mwaka jana 2010 tarehe 2 mwezi wa 7, na alibahatika kupata mtoto tarehe 30 mwezi wa 9.2010. Beezy amesema kwa sasa yupo kwenye mitihani na mungu akijali anatarajia kuja na mtoto Tanzania ili apate baraka zakutosha.
Beezy akiwa na mke wake Katharina Mokiwa
Huyu ndio mtoto wa Beezy wa kike anajulikana kwa jina la Malaika
"