Adverts

Feb 7, 2011

MPALESTINA HUYU ANACHEZA MPIRA WA KULIPWA NCHINI POLAND.

MPALESTINA HUYU ANACHEZA MPIRA WA KULIPWA NCHINI POLAND.: "
Mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa ya Palestina Omar Jarun akihojiwa na Mwandishi wa habari Mkongwa na mmiliki wa kituo cha redio cha Sports FM Abdallah Majura jana kwenye uwanja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere wakati alipokuwa akisubiri kuwapokea wachezaji wenzake walowasili jana mchezaji huyo aliwahi kufika nchini kwani yeye alitokea nchini Poland ambako anacheza mpira wa kulipwa katika klabu ya Pogon Szczeujin inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo katika picha kushoto ni Saad Kawemba Byemba Mkurugenzi wa Mashindano TFF.
"