Adverts

Feb 25, 2011

MWAKALEBELA ACHOMOA KESI YA RUSHWA UCHAGUZI MKUU

Frederick Mwakalebela (kushoto) akitoka mahakamani leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Iringa chini ya hakimu wake Mheshimiwa Festo Lwila katika kesi yake ya rushwa ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili Mwanasheria wa Takukuru Ntume Mizizi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya uamuzi wao wa kuendelea na kesi hiyo tena Mwakalebela akiingia ndani ya gari kukwepa kuzungumza na waandishi wa habari Ndugu wakimkimbiza Mwakalebela kuzungumza na waandishi wa habari Mwakalebela akitolewa mahakamani hapo na ndugu huku wakimzuia kuzungumza chochote na waandishi wa habari ,Mwanasheria wa Takukuru Bw.Mizizi akizungumza na mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com juu ya maamuzi ya mahakama na kuwa japo wataendelea hadi kieleweke
"